TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, December 16, 2014

WAZIRI UMMY AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KIWANDA OK PLASTIC.

unnamedNaibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Ummy Mwalimu kushoto akipata maelekezo mafupi toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya OK Plastic Bw.Fadl Ghaddar wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kiwandani hapo jijini Dar es Salaam ili kujionea hali halisi ya kiwanda hicho katika kutunza mazingira, katikati ni Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira toka Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Bi. Magdalena Mtenga.
unnamed1Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Ummy Mwalimu (katikati) akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira toka Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Bi. Magdalena Mtenga wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika kiwanda cha OK Plastic jijini Dar es Salaam, kulia ni Meneja wa Kiwanda hicho Bw. Martin Msamba.
unnamed2Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Ummy Mwalimu (katikati) akimsikiliza kwa makini Mkuu wa Kitengo cha Uzingatiaji wa Usimamizi wa Mazingira toka Baraza la Mazingira (NEMC) wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika kiwanda cha OK Plastic Dar es Salaam.
unnamed6Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Ummy Mwalimu akitoa maelekezo kwa watendaji wa Baraza la Mazingira (NEMC) na uongozi wa kiwanda cha OK Plasdtic juu ya hatua za haraka za kuchukua ili kukabiliana na tatizo la uchafuzi wa mazingira jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo

No comments:

Post a Comment