TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, December 18, 2014

FASTJET YATOA PUNGUZO LA BEI KWA WATEJA WANAOKWENDA KUHUDHURIA LOHANA SPORTS AND CULTURAL FESTIVAL UGANDA.

unnamedMeneja wa Biashara wa Kampuni ya Fastjet Bi. Jean Uku akiongea na Bw. Navin Kanabar (kushoto) na Bw. Manish Rughani (katikati) ambao ni wateja wa fastjet waliopata tiketi za punguzo la bei kwenda Entebe Uganda kuhudhuria tamasha la 33 la michezo na Utamaduni lijulikanalo kama Lohana Festival, kampuni ya Fastjet ilitoa punguzo la bei kwa kundi la wateja 150 walionunua tiketi nyingi.
unnamed1Meneja wa Biashara wa Kampuni ya Fastjet Bi. Jean Uku akimkabidhi Bi. Nishita Davda tiketi ya kwenda kuhudhuria tamasha la 33 la michezo na Utamaduni lijulikanalo kama Lohana Festival, kampuni ya Fastjet ilitoa punguzo la bei kwa kundi la wateja 150 walionunua nyingi.
unnamed3Meneja wa Biashara wa Kampuni ya Fastjet Bi. Jean Uku (mwenye miwani) na Afisa wa Mawasiliano na Masoko Bi. Lucy Mbogoro (kushoto) wakipozi kwenye picha ya pamoja na wateja waliopata tiketi zenye punguzo la bei kwenda kuhudhuria tamasha la 33 la michezo na Utamaduni lijulikanalo kama Lohana Festival, kampuni ya Fastjet ilitoa punguzo la bei kwa kundi la wateja 150 walionunua nyingi.
unnamed6Meneja wa Biashara wa Kampuni ya Fastjet Bi. Jean Uku akimkabidhi Bw. Manish Rughani tiketi ya kwenda kuhudhuria tamasha la 33 la michezo na Utamaduni lijulikanalo kama Lohana Festival, kampuni ya Fastjet ilitoa punguzo la bei kwa kundi la wateja 150 walionunua nyingi

No comments:

Post a Comment