TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Monday, December 15, 2014
WAZIRI NYALANDU AJADILIANA NA WANALOLIONDO KUHUSU MGOGORO WA ARDHI
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akisalimiana na baadhi aya madiwani wa Loliondo juzi alipokwenda kujadiliana nao kuhusu mgogoro wa ardhi katika maeneo hayo.
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ngorongoro, Raphael ong’oi akizungumza wakati ea kikao na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kujadili mgogoro wa ardhi Loliondo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiwa na mkuu wa wilaya ya Loliondo Elias Lala lawai alipowasili katika uwanja wa ndege wa Waso, Loliondo kwa ajili ya mazungumzo na na madiwani kuhusu mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miongo kadhaa
sasa
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na madiwani wa Ngorongoro juzi wakati alipokutana nao ili kujadili jinsi ya kumaliza mgogoro wa ardhi Loliondo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment