Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na ujumbe wa kiongozi huyo wa chama cha Kikomunisti cha China Luo
Zhijun  pamoja na Balozi wa China hapa
nchini lu youqing mara baada ya kumaliza Mazungumzo yao. Wengine katika picha
ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi pamoja na Mkuu wa mkoa wa
dar es Salaam Paul Makonda. PICHA NA IKULU
=============================================

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA NAIBU MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI JIJINI DAR LEO
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Gerson John Mdemu wa pili
kutoka kushoto. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi
John Kijazi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju na Mkurugenzi wa
Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga mara baada ya tukio la uapisho kukamilika.
==========================================

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAENDESHA DROO YA PILI YA MILLIONI 100 NA TUSKER FANYA KWELI NA UWINI
KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BENKI KUU YA TANZANIA (1966 – 2016) KUFANYIKA JUNI 22, 2016
MUHAMMAD ALI AFARIKI DUNIA
Bingwa
 wa zamani wa mchezo wa Masumbwi Dunia kwa uzito wa juu (World 
Heavyweight Champion) aliyeaminika kuwa mmoja kati ya Mabondia bora 
zaidi kuwahi kutokea, Muhammad Ali maarufu kama "The Greatest" amefariki
 Dunia leo katika hospitali ya Phoenix-area iliyopo Phoenix, Arizona 
alipokuwa amelazwa kwa matibabu. 
Ali ambaye alikuwa ni Bingwa mara tatu wa ngumi za Uzani wa Juu Duniani, amefariki akiwa na umri wa Miaka 74.

Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi. Amina
********** *********
HISTORIA FUPI YA MUHAMMAD ALI.
Muhammad Ali alikuwa bondia kwa sababu kuna mtu aliyemuibia baskeli yake. Alikuwa na umri wa miaka 12 wakati ule na alikuwa akiishi Louisville katika jimbo la Kentucky akijuilikana kwa jina la Cassius Mercellus Clay Jr.
Joe Martin, aliyekuja kuwa kocha wake baadaye, anaelezea jinsi kijana huyo alivyokuwa akilia huku akiahidi kumtandika magumi aliyemuibia baskeli yake pindi akimpata. Kocha huyo wa ubondia alimchukua Clay, kijana mweusi anayetokea katika familia ya watu maskini, na kumjumuisha na watoto wengine aliokuwa akiwafundisha.
“Alikuwa na bidii zaidi kuliko waatoto wote wengine niliokuwa nikiwasimamia,” anasema Joe Martin.
Ingawa Clay wakati ule hakuwa na nguvu ya kuvurumisha masumbwi, alikuwa mwepesi wa kuranda randa kupita kiasi. Mnamo mwaka 1960, akiwa na umri wa miaka 18, alishinda katika pambano la ndondi la michezo ya Olympiki mjini Rome, Italia. Medali yake ya dhahabu inasemekana aliitupa ndani ya Mto Ohio kwa sababu alikasirishwa na jinsi watu weusi wanavyobaguliwa nchini mwake.
Cassius Clay alikamilisha michuano ya wasiolipwa baada ya kuibuka na ushindi mara 100 katika jumla ya mapambano 108 aliyopigana. Wafanyabiashara 11 wa Kizungu kutoka Louisville walishirikiana ili kumfungulia njia Cassius Clay ya kuingia katika ulingo ya mabondia wa kulipwa.
Bondia huyo mwenye kipaji alikuwa akitajikana pia kuwa ni mtu aliyekuwa na majivuno na mdomo mpana. Kabla ya mapambano yake, Cassius Clay daima alikuwa akijinata kuwa yeye “ndie mbabe wa wababe na mzuri kuliko mabondia wote na kuwakejeli wapinzani wake.
Katika pambano lake la kwanza la kuwania ubingwa wa dunia Februari 1964 dhidi ya mtetezi wa taji hilo, Sonny Liston, Clay hakuwa akijulikana ni nani na watu waliamini angeshindwa tu. Lakini baada ya raundi ya sita, Liston aliungama. “Mie ndie mbabe,” alinguruma Cassius Clay kupitia kikuza sauti.
*Mwaka huo huo, alisilimu na kujiunga na kundi la Nation of Islam lililokuwa likiongozwa wakati huo mwanaharakati wa haki wa Wamarekani Weusi, Malcolm X. Akabadilisha jina la Cassius Clay na kujiita wakati huo huo Muhammad Ali*
Muhammad Ali hakuwa bondia tu, alikuwa mwanaharakati pia. Alipinga vita vya Marekani nchini Vietnam na alikataa kutekeleza sheria ya kutumikia jeshi. Mnamo mwaka 1967, akapokonywa sio tu leseni yake ya ubondia, bali pia alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela, ingawa baadaye bondia huyo wa aina pekee aliachiwa kwa dhamana.
Wasanii na wasomi mfano wa Richard Burton na Henry Fonda au mwandishi vitabu Truman Capote wakampigania mpaka Muhammad Ali akaruhusiwa tena kurejea ulingoni baada ya kulazimika kukaa nje kwa miaka mitatu.
Machi 8, 1971 Muhammad Ali aliteremka ulingoni Madison Square Garden mjini New York kwa kile kilichotaajwa “kuwa pambano la ndondi la karne” dhidi ya bingwa wa wakati ule, Joe Frazier. Lilikuwa pambano kati ya mafahali wawili, kati ya mpinzani na yule aliyekuwa akiangaliwa kama mwakilishi wa mtindo wa maisha wa Kimarekani. Katika pambano hilo la kusisimua la zaidi ya raundi 15, Frazier akashinda kwa pointi. Ali akalazimika kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya ubondia kunusa jamvi.
Yakafuata mapambano mengine ya kusisimua mfano wa lile la mjini Kinshasa dhidi ya George Foreman mnamo mwaka 1974, ambapo Muhammad Ali anasema “aliranda mfano wa kipepeo na kuuma kama nyuki”
Muhammad Ali alilipiza kisasi dhidi ya Joe Frazier mwaka 1975 na kumlazimisha kusalimu amri mnamo rauni ya 14. Mohammed Ali alistaafu mwishoni mwa mwaka 1981 baada ya kuranda kwa karibu miaka 40.
Wakati huo tayari alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya Parkinson. Licha ya maradhi hayo, Muhammad Ali ndiye aliyewasha mwenge wa Olimpiki huko Atlanta mnamo mwaka 1996 na kuusisimua ulimwengu mzima. Mwaka 1999 aliteuliwa na kamati kuu ya michezo ya Olimpiki kuwa “mwanaspoti bora wa karne.”
Mpinzani wake wa zamani George Foreman amegeuka hivi sasa kuwa rafiki yake mkubwa na kuungama “Muhammad Ali ndie bingwa wa mabingwa.”
Mpaka leo june 4 2016. Muhhamad Ali anapoteza maisha ndie mwanamasumbwi mstaafu kutoka nchini Marekani. aliepata kuwa bingwa wa uzito wa juu mara tatu

 Waziri
 Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa 
maelekezo kwa watendaji wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi, 
Uchukuzi na Mawasiliano Mkoani Iringa. Kulia ni Waziri wa Ardhi Nyumba 
na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi na Kushoto Mkuu wa mkoa wa 
Iringa Bi Amina Masenza.

Iringa Bi Amina Masenza. Waziri
 wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akifafanua 
jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame 
Mbarawa mara baada ya kuanza ziara ya siku nne mkoani Iringa.
Waziri
 wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akifafanua 
jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame 
Mbarawa mara baada ya kuanza ziara ya siku nne mkoani Iringa. Waziri
 Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akimsikiliza 
Meneja wa wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mkoa wa Iringa Eng. 
Daniel Kindole wakati wa ukaguzi wa barabara ya Dodoma –Iringa KM 260 
ambapo ujenzi wake umekamilika kwa kiwango cha lami.
Waziri
 Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akimsikiliza 
Meneja wa wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mkoa wa Iringa Eng. 
Daniel Kindole wakati wa ukaguzi wa barabara ya Dodoma –Iringa KM 260 
ambapo ujenzi wake umekamilika kwa kiwango cha lami. Mkuu
 wa mkoa wa Iringa Bi. Amina Masenza akitoa taarifa ya hali ya 
Miundombinu kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
 Mbarawa wakati wa ziara ya waziri huyo katika mkoani Iringa.
Mkuu
 wa mkoa wa Iringa Bi. Amina Masenza akitoa taarifa ya hali ya 
Miundombinu kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
 Mbarawa wakati wa ziara ya waziri huyo katika mkoani Iringa. Mmoja
 wa Washiriki wa Mafunzo ya siku tano kwa njia ya mtandao akipokea cheti
 chake toka kwaMkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya 
Mtandao (TaGLA) Bw. Charles Senkondo (katikati) pamoja na Ofisa Mtendaji
 Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Bw. Elius Mwakalinga (kushoto) mara 
baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo yaliyoaratibiwa na Ofisi ya Wakala 
wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) 3 Juni, 2016 jijini Dar es 
Salaam.
Mmoja

Salaam. Wadau
 kutoka Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) pamoja na Wakala 
wa Majengo Tanzania (TBA) wakimsikiliza mtoa mada kwa njia ya video 
(Tele Conference) wakati wa Mafunzo ya Siku Tano yaliyolengwa kwa ajili 
ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhusiana na masuala mbalimbali 
yanayaohusu majengo 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.(PICHA ZOTE NA 
BENEDICT LIWENGA-MAELEZO)
Wadau

BENEDICT LIWENGA-MAELEZO) Wadau
 kutoka Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) pamoja na Wakala 
wa Majengo Tanzania (TBA) wakimsikiliza mtoa mada kwa njia ya video 
(Tele Conference) wakati wa Mafunzo ya Siku Tano yaliyolengwa kwa ajili 
ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhusiana na masuala mbalimbali 
yanayaohusu majengo 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.
Wadau
 kutoka Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) pamoja na Wakala 
wa Majengo Tanzania (TBA) wakimsikiliza mtoa mada kwa njia ya video 
(Tele Conference) wakati wa Mafunzo ya Siku Tano yaliyolengwa kwa ajili 
ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhusiana na masuala mbalimbali 
yanayaohusu majengo 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam. Meneja
 Mafunzo toka Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw. Dickson 
Mwanyika akiwashukuru wadau waliohudhuria mafunzo hayo wakati wa 
ufungaji jan 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.
Meneja
 Mafunzo toka Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw. Dickson 
Mwanyika akiwashukuru wadau waliohudhuria mafunzo hayo wakati wa 
ufungaji jan 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam. Mdau
 kutoka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Mhandisi Mtapuli Juma 
akichangia mada kuhusiana na mafunzo ya siku tano waliyopatiwa na Wakala
 wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) wakati wa ufungaji wa mafunzo 
hayo 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.
Mdau

No comments:
Post a Comment