Afisa
Uchechemuzi wa Shirika la Wanasheria wanawake la TAWLA Bi. Sime
Bateyunga akifungua mafunzo kwa wanahabari hawapo pichani yanayolenga
kujenga uelewa kwa waandishi wa habari kuhusiana na masuala ya haki ya
afya ya uzazi Changamoto wanazokutana nazo na namna ambavyo matumizi ya
sheria za kimataifa kama Maputo Protocal yataweza kupunguza Chanagamoto
hizo, Semina hiyo ya siku mbili ilikuwa ikifanyika Luther House Azania
Front jijini Dar es salaam na imemalizika leo
Wanahabari
wakimsikiliza Afisa Uchechemuzi wa Shirika la Wanasheria wanawake la
TAWLA Bi. Sime Bateyunga wakati akifungua semina hiyo jana.
Dk. Ali Said kutoka muhimbi akiwasilisha mada katika mafunzo hayo kuhusu utoaji miba usio salama na madhara yake.
Goodness Mrema Afisa habari na mawasiliano TAWLA akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa semina hiyo leo.
Afisa
Mipango wa TAWLA Bi. Sara Kinyaga kulia akiwa katika picha ya pamoja
mara baada ya kuendesha mafunzo hayo kwa waandishi wa habari leo.
Maofisa
wa TAWLA pamoja na waandishi wa habari wakiwa katika picha ya pamoja
nmara baada ya kumalizika kwa semina hiyo leo jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment