Akizungumzia swala hilo mbunge wa jimbo la karatu Willy Qambalo
alisema kuwa kwa upande wake anaona suluhisho la kutatua tatizo hilo ni
pamoja na kujenga mabweni ilikuweza kuwasadia wanafunzi kupata elimu
ili kila mwanafunzi asome apoapo shuleni ili kuweza kujipatia muda wa
kujisomea.
"unajua kujengwa kwa haya mabweni pia itasiadia kuwapata wanafunzi
kirahisi ambao muda wamekuwa wakiacha masomo na kwenda kuchunga mifugo
jambo ambalo linapingwa vikali na wazazi wa vijiji hivyo na pia
wanafunzi hao watapata muda mrefu wa kujisomea na swala wao kupata njaa
litapungua kwani kutakuwa na chakula shuleni kwa ajili yao"alisema
Qakambalo
Aidha Tafiti zinaonyesha walimu ,wenye utovu wa nidhamu watoro na walevi katika maeneo ya mijini ndio hupelekwa katika shule hizzo zilizoko maeneo ya porini kama adhabu kwao.Swali la kujiuliza je mwalimu huyu atakuwa na nia ya kuwafundisha wanafunzi?Kupelekwa kwa mwalimu huyu kama adhabu badala ya eyey kuridhia Kujua kusomaa na kandika kwa wanafunzi hawa itakuwa ni ndoto.
No comments:
Post a Comment