MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA KITUO CHA KISASA CHA HUDUMA ZA MAGARI MKOANI ARUSHA
WIZARA KUPIMA VIWANJA 2180 CHASIMBA
LUHWAVI AWASILI TANGA LEO, ASIKILIZA MAFANIKIO NA KERO ZA WAFANYAKAZI WA CCM WILAYA ZOTE ZA MKOA HUO
UPDATES ZA MSIBA WA MTOTO WA ANKAL: MWILI UMESHAWASILI DAR ES SALAAM, MAZISHI LEO JUMAMOSI SAA 10 ALASIRI MAKABURI YA KISUTU
Updates
za familia ya Ankal Issa Michuzi iliyopatwa na msiba wa kuondokewa na
Mtoto wa Ankal, Maggid Muhidin (18), aliyefariki Jumapili Mei 8, 2016
huko Durban, Afrika Kusini:















































Mwili wa mke wa aliyekuwa rais wa Kenya Mwai kibaki , mama Lucy Kibaki
ukiwasili kwa ajili ya maziko hapo jana katika eneo la Bunge la Odhaya
kaunti ya Njeri,mjini Nairobi nchini Kenya.
Rais
Mstaafu wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa
Kenya Mh.Mwai Kibaki kufuatia kufiwa na mke wake mpendwa Mama Lucy
Kibaki mjini Nairobi,nchini Kenya anaeshuhudia kulia ni Rais wa
Kenya,Uhuru Kenyatta.

Bwana harusi Samwel Milego na Bi. Florida Kahatano wakionyesha vyeti
vyao mara baada ya kumaliza kufunga ndoa yao takatifu Jerusalem church
of God lililoko Yombo Vituka jijini Dar es Salaam Jumamosi Aprili 30,
2016. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.


