TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, May 17, 2012

Waziri Dk. Mgimwa azungumzia mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)

Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo  jijini Dar es salaam kuhusu Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaotarajia kuanza mjini Arusha kuanzia tarehe 28 Mwezi huu na utafunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete tarehe 31 Mwezi huu. Kulia ni Mwakilishi wa Benki hiyo hapa nchini Bi. Tonia Kandiero.
  Picha na Tiganya Vincent, MAELEZO- Dar es salaam

No comments:

Post a Comment