Taarifa Za Msanii TID Kukamatwa Na Polisi Jana Usiku.
 
Msanii 
mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu 
katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na
 polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana anayedaiwa kuwa ni 
mpenzi wake,  Mariam Nnauye.
  Huyu Ndio Mariam Nnauye. Taarifa 
zinasema kuwa ugomvi ulianza maisha club jana usiku baada ya TID kumkuta
 Mpenzi wake akiongea na mwanaume mwingine bila ruhusa ya Top In Dar na 
ndio Top akamvuta mpenzi wake na kumpiga makofi.Bila kijali mapenzi yao 
binti huyo alikwenda moja kwa moja kituo cha polici Osterbay na kutoa 
taarifa ya kupigwa naTid. 
 
 Tid ametoka mida ya saa tano asubuhi kwa Dhamana na ataripoti tena polici jumatatu.
 
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment