Baadhi ya matukio ya picha uchaguzi Serikali za Mitaa jijini Dar es salaam
Msimamizi
wa upigaji kura, Mwalimu Lucy Buzuka akitoa maelekezo kwa wapiga kura
wa Kariakoo Mashariki, Kata ya Kariakoo jinsi ya kupiga kura katika
zoezi la kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa ambapo siku ya leo
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment