TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, June 15, 2016

DKT SALIM ATUNUKIWA NISHANI YA KUDUMISHA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA KATI YA TANZANIA NA CUBA

MPALULEBLOGS:
Balozi wa Cuba Jorge Luis Lopez Tormo (kulia), akimvisha nishani Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim kutokana na kutambua mchango wake katika kudumisha mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Cuba, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam .

Balozi wa Cuba Jorge Luis Lopez Tormo (kulia), akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu, Salim Ahmed Salim hapo jana kabla ya kuvishwa nishani ya kuutambua mchango wake katika kudumisha mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Cuba, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment