TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, June 14, 2016

NAIBU WAZIRI WA NCHI MAZINGIRA NA MUUNGANO AWAZAWADIA WASHINDI WA TAMASHA LA AJIRA NA UJASIRIAMALI



Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Mh Luhanga Mpina Katika Picha ya Pamoja na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group Ruge Mutahaba na Afisa Mtendaji Mkuu wa EAG group Imani Kajula na washindi waliojinyakulia Zawadi Mbalimbali.Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group Ruge Mutahaba Ambaye naye alitoa Mada Mbalimbali Namna ya Kukabiliana na Changamoto ya Ajira Hapa Nchini
Afisa Mtendaji Mkuu waEAG group Imani Kajula Akitoa Mada kwenye Tamasha La Ajira na Ujasiriamali Lililofanyika Mkoani Mbeya.Katika hafla hiyo ya usiku, Wanafunzi hao sita Elisha Tullo, Nelson Mkolozi, Goodlove Msigwa, Agness Ngusa, Leornard Meshack walieleza walichojifunza na jinsi watakavyotumia ujuzi wao. Mshindi wa kwanza alikuwa ni Elisha Tullo na wa pili alikuwa Goodlove Msigwa.


Washiriki wa Tamasha Hilo wakisikiliza Kwa Makini Mda Mbalimbali Zilizowasilishwa Kwenye Tamasha la Ajira na Ujasiriamali Lililofanyika Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Mbeya Kuona picha zaidi za washindi na usiku wa wajasiliamali tembelea Facebook page www.facebook.com/Faharinews.

No comments:

Post a Comment