TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, June 16, 2016

AZANIA BANK YAKABIDHI MADAWATI 50 SHULE YA MSINGI MNAZI MJINI MOSHI.





Wanafunzi katika shule ya msingi Mnazi wakiwa wamekaa katika Madawati yaliyotolewa na benki ya Azania tawi la Moshi.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadicky, akisalimiana na wanafunzi katika shule hiyo.
Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi, Raymond Mboya akitoa neno la shukrani mara baada ya kupata msaada wa Madawati kutoka Benki ya Azania tawi la Moshi.
Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi, Raymond Mboya akiteta jambo na Meneja wa benki ya Azania tawi la Moshi, Hajira Mmambe wakati wa hafla ya kukabidhi wa Madawati kwa shule ya msingi Mnazi.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecky Sadicky akisalimiana na wafanyakazi wa benki ya Azania tawi la Moshi pamoja na watumishi wa halmashauri ya Manispaa ya Moshi.Na Dixon Busagaga wa Michuzi blog kanda ya kaskazini
MPALULEBLOGS:

Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Azania tawi la Moshi wakifuatilia hafla hiyo.
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Deodatus Nyoni akizungumzia juu ya upungufu wa Madawati 701 ulipo sasa kwa shule za msingi na Sekondari.
Meneja wa benki ya Azania tawi la Moshi, Hajira Mmambe akimkabidhi mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadicky Madawati yaliyotolewa na benki hiyo. Wengine ni wanafunzi wa shule ya msingi Mnazi.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecky Sadicky (katikati) akiwa ameketi kwenye moja ya Madawati yaliyotolewa na benki ya Azania tawi la Moshi kwa shule ya msingi Mnazi, kulia ni mkuu wa wilaya ya Moshi, Novatus Makunga na kushoto ni meneja wa Azania benki tawi la Moshi, Hajira Mmambe. 

No comments:

Post a Comment