TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, June 15, 2016

Airtel na Facebook wazindua “Bila Salio Wala MB kampeni”



• Unapata Facebook na messenger bure kabisa
• Wateja wa Airtel wanapa huduma hizi bure bila ya kuwa na muda wa maongezi au intaneti
• Huduma hii Inapatikana kwa wateja wote wa Airtel

Dar Es Salaam, 14 Juni 2016 Airtel Tanzania, kwa kushirikiana na Facebook, imezindua huduma ya Bure ya Facebook kwa wateja wa Airtel katika kampeni mpya ijulikanayo kwa jina la "Bila Salio Wala MB". Lengo la mpango huu ni kuunganisha kila Mtanzania katika intaneti na, kwa njia hii, kutawezesha kufungua fursa nyingi ambazo hapo awali zimekuwa ngumu kwao kuzitimiza.

Kama sehemu ya "Bila Salio Wala MB" kampeni, Watanzania wenye kadi ya simu ya Airtel na simu yenye uwezo wa kupokea intaneti wataweza kufurahia Facebook, Messenger na huduma nyingine zinazopatikana kwenye facebook . Ndani ya Facebook, wateja wataweza kuchat, kutuma picha, video , kutoa maoni, kuweka picha, kuangalia picha na mambo mengine mengi.


Akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo, Afisa mkuu wa biashara wa Airtel Tanzania, Arindam Chakrabarty alisema, "kutokana na maisha ya sasa jinsi yalivyo intaneti ni kitu muhimu sana katika maisha ya watu kwani imekuwa ikileta maendeleo katika Jamii na uchumi duniani kote. 

No comments:

Post a Comment