Akizungumzia kuhusina na sakata
hilo Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Majid Mwanga alisema kwamba baada ya
kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi hao aliamua kufanya uchunguzi wa
kina na kubaini mwekezaji huyo alipewa eneo hilo kwa ajili ya
uwekezaji,ambapo kwa sasa wamekubaliana naye hekari 131 zirudishwe kwa
wananchi wenyewe na yeye abakiwe na hekari 100 tu.
Baadhi ya wawekezaji hao ambao ni wakorea wakiwa wanamsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo katika mkutano huo.
Mkuu
wa Wilaya ya Bagamoyo Majid Mwanga akizungumza na wananchi wa kijiji
cha mwavi kata ta Fukayosi Wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani katika
mkutano maalumu na kutatua sakata la mgogoro wa ardhi baina yao pamoja
na mwekezaji Mkorea, ambaye amepokonywa hekari 131 na zimerudishwa kwa
wananchi wenyewe.
No comments:
Post a Comment