Mbunge
wa jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge,
Job Ndugai, akihutubia mamia ya wakulima huko Kibaigwa mkoani humo
Jumatano Desemba 11, 2013. Ndugai akiwakilisha wabunge kutoka majimbo ya
mkoani humo yanayopakana na wilaya ya Kiteto, mkoani manyara, wamekemea
vikali uamuzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo, kuwafukuza wakulima kutoka
nje ya wilaya ya Kiteto na kuwakumbatia Wafugaji wa kimasai kuendelea
na shughuli za uchungaji wa mifugo na kufananisha kitendo hicho ni sawa
na ubaguzi. (Picha zote kwa hisani ya Bunge)
Mbunge
wa Kondoa Kusini Mkoani Dodoma aliyekuwa ameambatana na Naibu Spika
Mhe. Juma Nkamia akiwahutubia wakulima hao katika Mji wa Kibaigwa na
kuwahakikishia kuwa watafikisha kero zao kwa Mhe. Waziri Mkuu ili kupata
ufumbuzi wa tatizo la kufukuzwa kwa wakulima hao katika maeneo yao huko
Kiteto
Mhe.
Richard kapinye Diwani wa Kata ya Kibaigwa akieleza kwa hisia kali
baadhi ya kero zinazowakabili wakulima hao kutokana na kunyanyaswa na
watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto kwa kuwafukuza katika
maeneo yao na kufumbia macho vitendo vya wafugaji kuwaua wakulima na
hakuna hatua zinazochukuliwa
Baadhi
ya wakulima wakimweleza Mbunge wa jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, ambaye
pia ni Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai baadhi ya matukio ya
kunyanyaswa na Watendaji wa Wilaya ya kiteto na vitendo vya wafugaji
kuwafanyia vurugu mara kwa mara katika mashamba yao.

ya wakulima wa jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, wakinyanyua mikono juu
wakati Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akiwahutubia akipinga baadhi ya
matukio ya kunyanyaswa na Watendaji wa Wilaya ya kiteto na vitendo vya
wafugaji kuwafanyia vurugu mara kwa mara katika mashamba yao.
No comments:
Post a Comment