Pamoja
na kudai mlima kilimanjaro upo Kenya,hapa wanafunzi kutoka nchini
Kenya wakipanda mlima Kilimanjaro sanjari na wanahabari Iringa kama
walivyonaswa na kamera ya matukiodaima ,kama mlima yungekuwa Kenya si
wangepanda mlima huu kupitia Kenya?
Vijana
waongoza watalii katika mlima Kilimanjaro wakimsaidia kumshusha kutoka
mlimani mmoja kati ya watalii watano kutoka nje ya Tanzanie
aliyepoteza fahamu kwa kupanda mlima huo kama walivyokutwa na kamera
ya matukiodaima wakiwa eneo la kituo cha kwanza cha MANDARA
Baadhi ya wanahabari kutoka mkoa wa Iringa wakiwa ktk picha kabla ya kuanza kupanda mlima Kilimanjaro
Katibu
wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Bw. Francis
Godwin ama mzee wa matukiodaima wa pili kulia ,mwanahabari Abukarim
Mshana wa radio Qbra Ten Fm na mwandishi wa Mjengwa blog kushoto
wakipongezana na watalii wa nje baada ya kufanikiwa kuweka rekodi
ya kupandisha mlima huo kwa mwendo wa kukimbia na kutumkia saa 1
.45 kutoka getini hadi kituo cha kwanza cha MANDARA badala ya masaa
matatu na kushuka kwa dakika 45
No comments:
Post a Comment