Mfanyakazi
wa kitengo cha huduma kwa wateja Bwana Diliwish Tully akitoa maelezo
kwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Bwana Vita Kawawa ( wa kwanza kushoto)
juu ya vifaa na simu mbalimbali za smartphone zinazopatikana katika duka
jipya la Airtel Kahama wakati wa uzinduzi wa duka hilo jipya na la
kwanza wilayani hapo. Akishuhudia (katikati) Mkurugenzi wa Huduma kwa
wateja wa Airtel bi Adriana Lyamba.
No comments:
Post a Comment