Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman akimkabidhi Mkurugenzi
Mtendaji Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar Ali Juma Hamad
vidonge vya waterguard na maji ya ORS kwa ajili kambi ya maafa, wa
kwanza (kushoto) Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Maulid Salum.
Naibu
Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman akisalimiana na wawakilishi wa
mashirika ya WHO na UNICEF alipowasili katika kambi ya maafa kuona
mazingira ya Kambi hiyo iliyopo Skuli ya Sekondari ya Mwanakwerekwe C
nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Wananchi wanaohifadhiwa katika kambi ya maafa wameiomba Serikali kuweka utaratibu wa kuwasaidia watakaporejea katika makaazi yao kwa vile wamepoteza vifaa vingi vya matumizi baada ya nyumba zao kujaa m
No comments:
Post a Comment