Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akiangalia taa iliyotengenezwa na Akinamama wa Zanzibaar Kisiwani Pemba 
alipotembelea Chuo cha Barefoot kinachotoaa mafunzo ya Amali kwa 
wanawake pekee katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la 
Rajastan ncchini India akiwa katika siku ya pili ya ziara yeke katika 
kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.[Picha na Ramadhan
 Othman,India.]
 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(mwenye suti nyeusi katikati)akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi 
wa Chuo cha Barefoot kinachotoaa mafunzo ya Amali kwa wanawake pekee 
katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajastan nchini India
 pamoja na ujumbe wake akiwa katika siku ya pili ya ziara yake katika 
kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.[Picha na Ramadhan
 Othman,India.] 

Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (
 katikati)akiwa na Viongozi wa  Chuo cha Barefoot kinachotoaa mafunzo ya
 Amali kwa wanawake pekee katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer 
Jimbo la Rajastan nchini India pamoja na ujumbe wake akiwa katika siku 
ya pili ya ziara yake katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi 
mbili hizo.[Picha na Ramadhan Othman,India.] 

Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe aliofuatana nao 
wakiingia katika  Makumbusho ya Hawa Mahal  Mji wa Jaipur Jimbo la 
Rajastan nchini India  akiwa katika siku ya pili ya ziara yeke katika 
kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.[Picha na Ramadhan
 Othman,India.] 

Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe aliofuatana nao 
wakiingia katika  Makumbusho ya Hawa Mahal  Mji wa Jaipur Jimbo la 
Rajastan nchini India  akiwa katika siku ya pili ya ziara yeke katika 
kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.[Picha na Ramadhan
 Othman,India.] 

Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe aliofuatana nao 
wakiingia Vitu mbali mbali vya kihistiroa katika  Makumbusho ya Hawa 
Mahal  Mji wa Jaipur Jimbo la Rajastan nchini India  akiwa katika siku 
ya pili ya ziara yeke katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi 
mbili hizo.[Picha na Ramadhan Othman,India.] 
 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe aliofuatana nao 
wakiingia Vitu mbali mbali vya kihistiroa katika  Makumbusho ya Hawa 
Mahal  Mji wa Jaipur Jimbo la Rajastan nchini India  akiwa katika siku 
ya pili ya ziara yeke katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi 
mbili hizo.[Picha na Ramadhan Othman,India.]

No comments:
Post a Comment