Katibu Mkuuu wa 
CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mama Mzazi wa aliyekuwa Waziri wa 
Fedha, Dk. William Mgimwa, Consolata Mgovano, alipokwenda nyumbani kwa 
marehemu Mgimwa, Kijiji cha Magunga, jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, 
leo jioni. Wengine ni watoto wa marehemu Mgimwa, Stanisla Mgimwa, na 
Rozalina Mgimwa.
 Kinana akizungumza na familia huyo ya marehemu Mgimwa. Wapili kushoto ni Johakim Mgimwa
 Kinana akimuaga Mama Mgimwa baada ya mazungumzo
 Kinana akiaga
 Mmoja wa wanafamilia akilia Kinana alipotembelea familia hiyo ya Mgimwa
 Nyumbani kwa marehemu Mgimwa
Kinana akipokea 
saluti ya Kijana wa CCM, alipowasili Ifunda, Iringa Vijijini kabla ya 
safari ya kwenda nyumbani kwa marehemu Mgimwa. Kushoto ni Mwenyekiti wa 
CCM mkoa wa Iringa Jesca Msavatavangu: 







No comments:
Post a Comment