Rais Dr. Jakaya Kikwete akipiga picha na Bloggers 
 walioshiriki kuripoti matukio ya maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa 
kwa Chama Cha Mapinduzi CCM yaliyofanyika jijini  Mbeya mara baada 
ya kumalizika kwa maadhimisho hayo, Picha hii imepigwa na Katibu Mkuu wa
 Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana kama anavyoonekana 
akiitafuta taswira hiyo,  kulia ni Ahmed Michuzi wa Jiachie Blog, John 
Bukuku wa Fullshangweblog.com na kutoka kulia ni Bashir Nkoromo wa The 
Nkoromo Blog na Richard Mwaikenda wa Blog ya Kamanda wa Matukio Blogger 
na Adam Mzee wa CCM Blog aliyechuchumaa chini katikati hawa ndiyo 
waliokuwa wakiripoti matukio ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM mkoani 
Mbeya 
 
 
Katibu
 Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana kama anavyoonekana
 akiitafuta taswira ya Mablogger wakati wakipiga picha na Rais Dr. 
Jakaya Kikwete.

No comments:
Post a Comment