Jaji
 Mkuu  wa  Tanzania  Mohamed  Chande Othman (kushoto)  mstari  wa kwanza
 akiwa katika maandamano ya siku ya sheria leo na  baadhi ya  majaji  
kwenye   viwanja  Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads . 

 Bendi ya polisi ikiongoza maandamano ya siku ya sheria katika  viwanja 
 Mahakama Tanzania  vilivyoko Ocean Roads yaliyofanyika leo jijini Dar 
es Salaam 

Rais
 Jakaya Kikwete akipokelewa (kushoto) na  Jaji Mkuu  wa  Tanzania  
Mohamed  Chande Othman (kulia) leo mara baada ya  kuwasili  kwenye  
 maadhimisho ya   siku  ya sheria   mara baada na  baadhi ya  majaji  
kwenye   viwanja  Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads  

Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba  leo  kwenye   maadhimisho ya   siku 
 ya sheria    kwenye   viwanja  Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads 

Jakaya
 Kikwete akipokelewa (katikati ) na  Jaji Mkuu  wa  Tanzania  Mohamed  
Chande Othman (kulia) leo mara baada ya  kuwasili  kwenye   maadhimisho 
ya   siku  ya sheria   mara baada na  baadhi ya  majaji  kwenye 
  viwanja  Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads . 
Picha Magreth Kinabo – MAELEZO

No comments:
Post a Comment