Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein,akisalimiana na Waziri wa Afya na  Ustawi wa Jamii wa India Shri 
Ghulam Nabi Azad, alipowasili katika hoteli ya Oberoi Mjini New Delhi 
alipofikia Rais na Ujumbe wake wakiwa katika ziara ya kiserikali Nchini 
India,[Picha na Ramadhan Othman,India.]  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wa India
 Shri Ghulam Nabi Azad, alipowasili katika hoteli ya Oberoi Mjini New 
Delhi alipofikia Rais na Ujumbe wake wakiwa katika ziara ya kiserikali 
Nchini India,[Picha na Ramadhan Othman,India.]  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na ujumbe wake wakizungumza na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wa India 
 Shri Ghulam Nabi Azad,na Viongozi aliofuatana nao walipofika katika 
hoteli ya Oberoi Mjini New Delhi alipofikia Rais na Ujumbe wake wakiwa 
katika ziara ya kiserikali Nchini India,[Picha na Ramadhan 
Othman,India.]  
Wanafunzi
 wa Kitanzania wanaosoma Nchini India wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na 
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa 
akizungumza nao jana katika ukumbi wa jengo la Hotel ya Ashok Mjini New 
Delhi,akiwa katika ziara nchini India ya siku tisa katika kukuza 
uhusiano na ushirikiano katika nyanja mbali mbali za kimaendeleo.[Picha 
na Ramadhan Othman,India.] 
Wanafunzi
 wa Kitanzania wanaosoma Nchini India wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na 
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa 
akizungumza nao jana katika ukumbi wa jengo la Hotel ya Ashok Mjini New 
Delhi,akiwa katika ziara nchini India ya siku tisa katika kukuza 
uhusiano na ushirikiano katika nyanja mbali mbali za kimaendeleo.[Picha 
na Ramadhan Othman,India.] 
Viongozi wa Ujumbe wa Rais na Vingozi wa Watanzania Nchini India  pamoja na wanafunzi wanaosoma  kupata fani mbali mbali nchini India,wakimasikiliza  wa
 Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein,alipokuwa akitoa nasaha zake wakati walipokutana jana katika 
ukumbi wa Hotel ya Ashok Mjini Nwe Delhi India, [Picha na Ramadhan 
Othman,India.] 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa
 akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Watanzania Wanafunzi 
wanaosoma katika vyuo mbali mbali nchini India, jana katika ukumbi wa 
Hotel the Ashok mjini New Delhi,akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na
 mashirikiano na nchi hiyo,(kulia wa kwanza) Waziri wa Uwezeshaji,Vijana
 wanawake na Watoto,Bi Zainab Omar Mohamed,Mama Mwanamwema Shein,na 
(kushoto) Balozi wa Tanzania nchini India John W.H.Kijazi, [Picha na 
Ramadhan Othman,India.] 

Naibu
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mahadhi Juma 
Maalim,Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee na Balozi wa Tanzania nchini 
India John W.H.Kijazi, ni miongoni mwa ujumbe wa Rais wa Zanzibar na 
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ziara 
nchini India,pichani wakimsikiliza Rais wakati alipozungumza na 
watanzania katika ukumbi wa The Ashok Hotel Mjini New Delhi jana. [Picha
 na Ramadhan Othman,India.] 

Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akiwa picha ya pamoja na Watanzania wanaosoma nchini India baada ya 
mazungumzo ya  pamoja nao jana katika ukumbi wa The Ashok 
Hotel Mjini New Delhi akiwa katika ziara ya Kiserikali. [Picha na 
Ramadhan Othman,India.]  

Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(katikati) akiwa picha ya pamoja na Watoto baada ya mazungumzo ya  pamoja na Watanzania  jana katika ukumbi wa The Ashok Hotel Mjini New Delhi India akiwa katika ziara ya Kiserikali. [Picha na Ramadhan Othman,India.]  

Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,(kulia) wakiwa picha ya pamoja na Makamo 
wa Rais wa India Mohammed Ansari na Mkewe Salma Ansari,walipoalikwa 
chakula cha usiku jana katika ukumbi wa Hayderabad House, Mjini New 
Delhi akiwa katika ziara ya Kiserikali. [Picha na Ramadhan 
Othman,India.]  
 
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,  wakisalimiana na Viongozi wa Serikali ya India wakati wa hafla ya chakula cha usiku jana kilichoandaliwa na  Makamo
 wa Rais wa India Mohammed Ansari na Mkewe Salma Ansari,katika ukumbi wa
 Hayderabad House, Mjini New Delhi akiwa katika ziara ya Kiserikali. 
[Picha na Ramadhan Othman,India.] 
 
 
Makamo
 wa Rais wa India Mohammed Ansari na Mkewe Salma Ansari, wakisalimiana 
na ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi 
Dk.Ali Mohamed Shein,alipowatambulisha jana wakati wa chakula cha usiku 
katika ukumbi wa Hayderabad House, Mjini New Delhi  katika ziara ya 
Kiserikali Nchini India. [Picha na Ramadhan Othman,India.]

No comments:
Post a Comment