Hali hii inasababishwa na Ukosefu wa Ajira, hivyo Vijana wengi ukaa vijiweni kucheza Michezo kama hii, hali inayosababisha kuzorota kwa Uchumi kwa kuwa nguvu kazi ya Vijaa Upotea
Hali ya Usafiri katika jiji la Dar es Salaam, majira ya Asubuhi na Jioni ni mbaya hivyo Abiria wengi Upata magari kwa Taabu kiasi ambacho uwafanya wengine kutembea kwa Miguu kurejea majumbani
Hali ya Machinga kwa jiji la Dar es Salaam, inazidi kushamili kila kukicha, pamoja na kwamba maeneo ambayo wameondolewa ndo sasa biashara imeshika usukani
Hawa jama wamekaa juu ya Waya, hii ni hatari pale inapotokea ajali na hata kwa usalama wao pia
Baada ya kusiubiri Usafiri kwa Muda mrefu bila mafanikio, baadhi ya wakazi wa jiji wanaonekana kuchapa mwendo mdogomdogo kurejea kwenye makazi yao
Baada ya kusiubiri Usafiri kwa Muda mrefu bila
mafanikio, baadhi ya wakazi wa jiji wanaonekana kuchapa mwendo
mdogomdogo kurejea kwenye makazi yao
Hali ya Maisha inazidi kuwa ngumu kwa baadhi ya familia hata kushindwa kupeleka watoto shule na hivyo kujiingiza katika soko la Biashara kama walivyokutwa watoto hawa jiji jana
Hili ni eneo la Barabara, katika Soko Kuu la Kariakoo, hata hivyo wafanyabiashara wamezingira hadi eneo la Barabara hata kusababisha magari mengi kupita kwa taabu
Vijana wakiendelea na biashara zao kwenye Mtaa wa Kongo Dar es Salaam leo(Picha Zote na Shaaban Mpalule).
No comments:
Post a Comment