Mkurugenzi wa TCRA,Profesa
John Mkoma akibonyeza kitufe ikiwa ni ishara ya kuzindua Televisheni ya
Zuku Africa kupitia kampuni ya Wananchi Satelite Tanzania inayotoa
matangazo yake kwa kutumia ving'amuzi nchini Tanzania , Hafla ya
uzinduzi iliyofanyika kwenye hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam
jana jioni ikihudhuriwa na wadaum mbalimbali na wageni waalikwa.
Katika
picha kulia ni Richard Bell Afisa Mtendaji Mkuu wa makampuni ya Wananchi
Group na kulia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Wananchi Group Bw. Ali
Mufuruki wakishuhudia tukio hilo.
Mkurugenzi wa TCRA,Profesa
John Mkoma mbele ya wageni waalikwa mbalimbali kabla ya kuzindua
kampuni ya Wananchi Satelite jana katika hafla iliyofanyika jana kwenye
hoteli ya Golden Tulip
kulia ni Richard Bell Afisa
Mtendaji Mkuu wa makampuni ya Wananchi Group na kulia ni Mwenyekiti wa
makampuni ya Wananchi Group Bw. Ali Mufuruki
Mwenyekiti wa makampuni ya Wananchi Group Bw. Ali Mufuruki akizungumza katika uzinduzi huo na kumkaribisha Mkurugenzi wa TCRA Profesa John Mkoma.
Richard Bell Afisa Mtendaji Mkuu wa makampuni ya Wananchi Group akimkaribisha Mwenyekitiwa Makampuni ya Wananchi Group Ali Mufuruki.

Kundi la TMK wanaume Family likitumbuiza katika uzinduzi huo jana.

Bendi ya Tanzanite ikiongozwa na mwanamzuiki nguli John Mhina ilitoa burudani ya kutosha katika uzinduzi huo jana.

Wageni waalikwa mbalimbali wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea katika uzinduzi huo.

Wadau hawa nao walikuwepo ndani ya nyumba kama unavyowaona wengi wanaipenda ZUKU TV.

Waimbaji
wa muziki wa injili pamoja na waigizaji wa filamu hawakukosa uzinduzi
huop kutoka kulia ni Mwigizaji Natasha, Monalisa , Mwimbaji Alice na
mumewe ambaye pia ni mwimbaji Bw. Robert David wakipozi kwa picha.
Richard
Bell Afisa Mtendaji Mkuu wa makampuni ya Wananchi Group katikati na
Mwenyekiti wa makampuni ya Wananchi Group Bw. Ali Mufuruki kulia wakimsikiliza Meneja mkuu wa Wananchi Satelite Bw Mohamed Jeneby akiwaelezea jambo.
Richard
Bell Afisa Mtendaji Mkuu wa makampuni ya Wananchi Group kulia i na
Mwenyekiti wa makampuni ya Wananchi Group Bw. Ali Mufuruki wakijadili jambo katika uzinduzi huo.

Wadau kutoka ZUKU TV wakipozi kwa picha jana katika uzinduzi huo.

Mwanamuziki AY na wenzake walihudhuria pia uzinduzi huo.

Jaquiline Karanja kulia na Moureen walikuwepo pia hebu wacheki na pozi yao.

Kutoka kulia ni wadau ZIZZOU wa ZIZZOU Fashion, Suzy wa Clouds na mdau Godliver wa Prime Time wakipozi kwa picha.
No comments:
Post a Comment