Afisa
Uhusiano wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kulia)
akizungumza na mmoja wa wanakikundi cha Tumaini Kijiji cha Lemguru,Kata
ya Kisongo wilaya ya Arumeru,Naserian Mayase wakati wa ukaguzi wa
miradi ilifadhiliwa na TBL kupitia taasisi isiyo ya kiserikali ya Ace
Africa.Picha na Mpigapicha Wetu
Afisa
Miradi wa asasi isiyo ya kiserikali ya Ace Africa,Baraka
Mshana(katikati) akiwapa maelezo ya umuhimu wa matumizi ya majiko banifu
kwaajili ya kulinda mazingira,Meneja Mauzo wa kampuni ya Bia Kanda ya
Kaskazini,Wilderson Kitio(kushoto)na Afisa Uhusiano wa TBL,Doris Malulu
No comments:
Post a Comment