Ma
 Dj wakitoa burudani wakati wa kusherekea miaka mitano ya Grooveback Djs
 ambayo inaundwa na Ma Dj maarufu nchini,  Dj Peter Moe, PQ, Crucial, 
KT, Tony na JB, iliyofanyika katika bar maharufu ya East 24  iliyoko 
Mikocheni jijini Dar es Salaam. 
Ma Dj
 waalikwa wa kimataifa waliokuwepo ni Dj Pinye na Dj Nijo kutoka Kenya. 
Grooveback wanapiga Disco la nguvu kila jumamosi East 24 Bar, Arcade 
House, chini ya udhamini wa Windhoek Lager – 100% PURE BEER.
Mashabiki mbalimbali wakipata burudani wakati wa Kusherekea miaka mitano ya Grooveback Dj
  
Mashabiki mbalimbali wakipata burudani wakati wa Kusherekea miaka mitano ya Grooveback Dj
  
Mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni ya Mabibo, Jerome Rugemarila (katikati), akiwa na warembo wa kampuni hiyo.
 
 
Wana habari Dotto Mwaibale (kushoto), Faustine Kapama (katikati), wakiwa na mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni ya Mabibo, Boniface.
Akizungumza
 na waandishi wa habari katika hafla hiyo,  Ofisa Mauzo wa Kampuni ya 
Mabibo, Kelvin Coster alisema muitikio wa wapenzi wa muziki ulikuwa ni 
mkubwa.
“Mashabiki ni wengi mno waliofika kushiriki sherehe hii ya kutimiza miaka mitano ya upigaji muziki wa disco” alisema Coster.
Alisema
 kampuni hiyo iliamua kudhamini sherehe hiyo kupitia kinywaji cha 
Windhoek kinachopendwa na watu wengi kutokana na ubora wa kimataifa na 
bei yake kuwa nafuu.
” 
Napenda kusisitita kuwa Windhoek ni bia ambayo ukinywa haileti matatizo 
yoyote kama ya kuumwa kichwa,  mnywaji akiamka asubuhi atajisikia vizuri
 pasipo mzingio wa ziada” alisema Coster.
Alisema
 wanywaji wanapaswa kuzingatia kunywa bia yenye namba MB66 ambayo 
inauzwa kwa chupa sh.3,000 na katoni kwa sh.58,000 ambapo faida yake ni 
sh.14,000 na si vinginevyo.

No comments:
Post a Comment