TANZIA:
 TAARIFA ZILIZOTUFIKIA KATIKA KITENGO CHA HABARI KUPITIA MITANDAO 
MBALIMBALI YA KIJAMII ZINAELEZA KUWA WAZIRI WA FEDHA MHE. DR. WILLIAM 
MGIMWA AMEFARIKI DUNIA JIONI HII NCHINI AFRIKA KUSINI KATIKA HOSPITALI 
YA MILLPARK ALIPOKUWA AMELAZWA KUPATIWA MATIBABU. 
LAKINI SERIKALI BADO HAIJATHIBITISHA TAARIFA HIZO.
MTANDAO HUU UNAFANYA JITIHADA KUBWA KUWASILIANA NA WAHUSIKA ILI KUPATA UHAKIKA WA  TAARIFA HIZO.

No comments:
Post a Comment