Mwimbaji
wa muziki wa injili nchini Bony Mwaitege akiimbisha mashabiki wake
kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma wakati akiimba kwenye tamasha la
Krismas lililofanyika leo na kushirikisha waimbaji wa muziki wa injili
kutoka maeneo mbalimbali nchini Tanzania , Tamasha hilo linaandaliwa na
kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar es salaam na tamasha la leo
lilikuwa linahitimisha ziara ya mikoa minne ya Tanzania ambako matamasha
hayo yamefanyika ambayo ni Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Arusha na
tamasha la leo mjini Dodoma
Mwimbaji
wa muziki wa injili nchini Bony Mwaitege akisalimiana na mashabiki wake
wakati alipokuwa akiimba kwenye uwanja waJamhuri Mjini Dodoma leo.
Mgeni
rasmi Mbunge wa jimbo la Tarime na Mwandishi wa vitabu Nyambari
Nyangwine akitoa neno kwa mashabiki waliohudhuria kwenye tamasha la
Krismas kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, kulia ni Alex Msama
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion.
- aadhi
ya mashabiki waliohudhuria kwenye tamasha la Krismas wakiimba pamoja na
mwimbaji Upendo Nkone hayupo pichani wakati akifanya vitu vyake
jukwaani.
- Hapa ni kusifu na kuabudu tu.
Ikafika saa ya maombi
Mashabiki wakitoa ushirikiano kwa mwimbaji Upendo Nkone hayupo piuchani.
Upendo Nkone akifanya vitu vyake mbele ya mashabiki wake kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.
Upendo Nkone akicheza na mashabiki wake.
Mwimbaji Rose Muhando akikata kiu ya mashabiki wake mjini Dodoma leo.
- Hii ni sataili ya kucheza kiduku kwa kumsifu yesu kaazi kwelikwe.
Upendo Kilahiro akiimba na waimbaji wenzake kutoka kushoto ni Edson Mwasabwite, Tumaini Njole na Faraja Ntaboba.
kutoka kulia ni Edson Mwasabite, Tumaini Njole na Faraja Ntaboba kutoka DRC Kongo wakiimba kwa pamoja.
Baadhi ya mashabiki wakiwa katika tamasha hilo.
Mwimbaji Tumaini Njole akifanya vitu vyake. 
- Vijana wa kazi The Voice wakifanya vitu vyao katika tamasha hilo.
TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Thursday, January 2, 2014
BONY MWAITEGE AFANYA KWELI TAMASHA LA KRISMAS DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment