Kikundi
 cha Barssband cha Mafunzo kikiwa mbele ya Matembezi ya Bonanza la 5 la 
Vikundi vya Mazoezi ya Viungo,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na 
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi 
mbali mbali wakishiriki,matembezi  hayo yameanzia Uwanja wa Kisonge,hadi
 uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja,[Picha na Ramadhan 
Othman,Ikulu.]
  
  
Wanavikundi
 vya mazoezi ya Viungo wa Zone A,wakiwa katika  Matembezi ya Bonanza la 
5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
 Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi 
 hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia  Uwanja wa Amaan Wilaya
 ya Mjini Unguja,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 
 
Kikundi
 cha Mchezo wa Judo,wakiwa katika Matembezi ya Bonanza la 
5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
 Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi 
 hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia  Uwanja wa Amaan Wilaya
 ya Mjini Unguja,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 
 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed 
Shein,(katikati) na viongozi mbali mbali walioshiriki,Matembezi  ya 
Bonanza la 5 la Vikundi vya Mazoezi ya Viungo,  yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,hadi uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Wazee
 wa Mchezo wa Bao la kete,wakipita mbele ya Jukwaa la Uwanja wa 
Amaan,wakitoa heshma kwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa 
Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,katika Bonanza la 5 la vikundi
 vya mazoezi ya Viungo,lililofanyika leo,Wilaya ya Mjini  Unguja,katika 
shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,.[Picha na Ramadhan 
Othman,Ikulu.]
Watu
 wenye ulemavu wa Miguu,wanotumia baskeli za maringi wakipita kutoa 
heshma kwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la 
Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,katika Bonanza la 5 la vikundi vya 
mazoezi ya Viungo,lililofanyika leo,Wilaya ya Mjini Unguja,katika shamra
 shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,.[Picha na Ramadhan 
Othman,Ikulu.]
Rais
 wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed 
Shein,akizungumza na Wanamichezo wa Vikundi vya Mazoezi ya Viungo katika
 Bonanza la 5,Vikundi vya mazoezi ya Viungo,lililofanyika
 katika Uwanja wa Amaan,Wilaya ya Mjini Unguja,katika shamra shamra za 
miaka 50 ya Mapinduzi ya zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 
 
Rais
 wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed 
Shein,akionesha Cheti alichokabidhiwa na Waziri wa 
Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk,  katika Bonanza
 la 5,lililofanyika katika Uwanja wa Amaan,Wilaya ya Mjini Unguja,katika
 shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya zanzibar.[Picha na Ramadhan 
Othman,Ikulu.]




No comments:
Post a Comment