Mbunge
 wa Temeke, ambaye pia ni Mlezi wa timu ya netiboli ya Temeke Queens, 
Abbas Mtemvu, akimrejeshea Kombo la ubingwa Katibu Mkuu wa Chama cha 
Netiboli Tanzania (CHANETA), Anna Kibira lililokuwa linashikiliwa na 
mabingwa watetezi wa michuano ya Taifa Cup, Temeke Queens. Hafla hiyo 
ilifanyika wakati wa ufunguzi wa michuano hiyo kwenye Uwanjawa Taifa Dar
 es Salaam. 
 Mtemvu
 akimkabidhi kocha wa Temeke Queens, Amina Mussa fedha kwa ajili ya 
posho za wachezaji na viongozi wa timu hiyo inayoshiriki michuano hiyo. 
Mtemvu akiwa na wachezaji wa timu ya Temeke Queens mabingwa watetezi wa mashindano hayo. 
 Mwanaidi Ngubege wa Temeke Queens (kushoto) akijiandaa kufunga goli dhidi ya timu ya Mkoa wa Katavi.
Lillian Sylidion wa Temeke akidaka mpira
Mchezaji
 Sekela Dominick (kushoto) wa timu ya Temeke Queens akigombea mpira wa 
juu ya Rose Israel wa timu ya Mkoa wa Katavi katika mashindano ya 
kuwania Kombe la Taifa (Taifa Cup) siku ya ufunguzi wa michuano 
ya mchezo wa netiboli, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Temeke 
Queens ilishinda 58-27. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Benchi la wachezaji wa timu ya Mkoa wa Katavi 
Kocha Amina Mussa wa Temeke akitoa mawaidha kwa wachezaji wakati wa mapumziko
 
No comments:
Post a Comment