Wakazi wa
 mji wa Kigoma na vitongoji vyake wakiwa katika Tamasha la Kilimanjaro 
Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Jumamosi Agosti
 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium 
Lager.
Msanii wa
 Muziki wa Kizazi Kipya, Amini akitoa burudani katika Tamasha la 
Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, 
Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya 
Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa
 Muziki wa Kizazi Kipya, Ben Pol akitoa burudani katika Tamasha la 
Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, 
Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya 
Kilimanjaro Premium Lager.
 
Mwanamuziki
 Christian Bella akiwaimbisha wimbo wake wa ‘Nani Kama Mama’ wakazi wa 
Kigoma na vitongoji vyake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 
lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Jumamosi Agosti 23, 2014. 
Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa
 Muziki wa Kizazi Kipya, Diamond Platinumz akiwapagawisha mashabiki wa 
wakazi wa mji wa Kigoma katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 
lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Jumamosi Agosti 23, 2014. 
Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa
 Muziki wa Kizazi Kipya, MwanaFA akiwapa burudani wakazi wa jiji la 
Dodoma katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika 
Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili
 limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
  Wadau wakifurahia burudani
Msanii wa
 Muziki wa Kizazi Kipya, Mwasiti ambaye ni mzaliwa wa Kigoma akitoa 
burudani nyumbani katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 
lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma Jumamosi Agosti 23, 
2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Mfalme wa
 muziki wa Taarabu Mzee Yusuph akitoa burudani sambamba na wacheza shoo 
wake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja 
wa Lake Tanganyika, Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa
 na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Nguli wa 
Muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule atoa burudani sambamba na mdogo 
wake Coriombi ambaye ni mdogo wake wa kuzaliwa nae ambaye kwa sasa 
amekuwa akimuandaa kuwa mrithisha wa mikoba yake katika Tamasha la 
Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, 
Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya 
Kilimanjaro Premium Lager.
Weusi: 
Wasanii wa Kundi la Weusi linaloundwa na Joh Makini, Nikki 2, G-Nako 
toka Kaskazini mwa Tanzania, Jijini Arusha wakitoa burudani katika 
Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake 
Tanganyika, Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa 
na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Dj Choka ambaye ni Dj rasmi wa kundi la Weusi akiwajibika jukwaani.
 Backstage: Christian Bella, Nikki wa Pili na Amini.
Backstage: Profesa Jay
 Mizuka ya show iliwafanya hawa washindwe kujizuia kutoa shangwe
Backstage: MwanaFA
PICHA NA KAJUNASON
PICHA NA KAJUNASON



















No comments:
Post a Comment