Meneja
 msaidizi  wa bia ya castle lite Victoria Kimaro kushoto akizungungumza 
na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam alipokuwa akiwatangaza 
washindi sita wa wiki ya kwanza katika shindano la promosheni ya Castle 
lite Yacht Party ambapo baadae watapatikana washindi watakaojishindia 
zawadi kubwa ya kushiriki katika burudani itakayofanyika katika kisiwa 
kwenye Bahari ya Hindi na kulia kwake ni meneja wa bia hiyo Geoffray 
Makau.
Sehemu
 ya waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari wakiwa katika mkutano wa 
waandishi wa habari kwenye kutangazwa kwa washindi sita wawiki ya kwanza
 ambao walishiriki katika shindano kubwa la promosheni ya Castle lite 
Yachy Party jijini Dar Es Salaam.


No comments:
Post a Comment