Mke
 wa Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA,
 Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mgeni wake Mama 
Graca Machel na wajumbe wawili wa Bodi ya WAMA. Wajumbe hao ni 
Mheshimiwa Sophia Simba,Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto 
(kulia) na Mama Hulda Kibacha (wa kwanza kushoto).
Mama Garaca Machel akiweka saini kitabu cha wageni wakati alipotembelea ofisi za WAMA tarehe 25.8.2014.
Mke
 wa Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya WAMA akimkabidhi zawadi ya picha mgeni
 wake Mama Graca Machel aliyemtembelea ofisini kwake tarehe 25.8.2014.
Mke
 wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na
 Mgeni wake Mama Graca Machel kwenye ofisi za Taasisi hiyo zilizoko 
karibu na Ikulu.
Mke
 wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi baadhi ya majarida 
yanayochapishwa na Taasisi ya WAMA kwa Mgeni wake Mama Graca Machel.
Picha
 ya pamoja kati ya Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na wafanyakazi wa 
Taasissi ya WAMA na Mama Graca Machel na ujumbe wake mara baada ya 
kufanya mgeni uyo kutembelea ofisi hiyo tarehe 25.8.2014.
Mke
 wa Rais Mama Salma Kikwete akimwaga Mgeni wake Mama Graca Machel wakati
 akiondoka kwenye ofisi ya WAMA baada ya viongozi hao kufanya 
mazungumzo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Mama Graca Machel aliyemtembelea kwenye ofisi za WAMA tarehe 25.8.2014.
Mke
 wa Rais Mama Salma Kikwete na mgeni wake Mama Graca Machel wanaonekana 
wakifurahia jambo kabla ya kupiga picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe 
wa Bodi ya WAMA.
Mke
 wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na waandishi wa habari mara baada 
ya kuagana na Mgeni wake Mama Graca Machel nje ya ofisi za WAMA tarehe 
25.8.2014.
 PICHA NA JOHN  LUKUWI.










No comments:
Post a Comment