BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA LASAINI WARAKA WA BRIGHTON DECLARATION KUHUSIANA NA USAWA WA KIJINSIA KATIKA MICHEZO
Baadhi
ya wanahabari wakimsikiliza Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la
Taifa Bw. Henry Riaya hayupo pichani akizungumza na wanahabari hawapo
pichani katika hafla ya kusaini Waraka wa Brighton Declaration kuhusiana
na usawa wa kijinsia katika michezo.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es
Salaam leo. Picha zote na Benjamin Sawe -WHVUM
No comments:
Post a Comment