Mahakama yatupa pingamizi la ubunge dhidi ya Dk Mwakyembe
, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Dk Mwakyembe.Mwanyamaki ni miongoni mwa waliyokuwa wagombea wa mkoani Mbeya, ambao walifungua kesi mahakamini hapo, wakipinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliopita.Wengine ni Liberatus Mwang’ombe (Chadema) dhidi ya mbunge Haroon Pilmohamde wa CCM (Mbarali), John Mwambigija (Chadema), dhidi ya Saul Amoni wa CCM (Rungwe), Dk Luca Siame (CCM) dhidi ya David Silinde wa Chadema (Momba), Adam Zella (Chadema) dhidi ya Oran Njeza wa CCM (Mbeya Vijijini) na Fanuel Mkisi (Chadema) dhidi ya Jophet Hasunga wa CCM (Vwawa).Jaji wa mahakama hiyo, Atuganile Ngwala alitoa uamuzi huo jana mahakamani hapo baada ya wakili wa Mwanyamaki, Benjamini Mwakagamba akisaidiana na Adrian Mhina kudai mahakamani hapo kwamba mteja wao alishindwa kutoa kiasi hicho alichotakiwa kulipa ili kesi ya msingi iweze kuendelea, hivyo wanaiachia mahakama iweze kutoa uamuzi wake juu ya suala hilo.Baada ya maelezo Jaji Ngwala akatoa nafasi kwa wakili aliyekuwa akimtetea Dk Mwakyembe, Mpale Mpoki aliiomba mahakama imuamuru Mwanyamaki awalipe
No comments:
Post a Comment