Watoto wakikwea mlima wa maputo
Watoto wakiruka ruka
Watoto wakiteleza juu ya puto
Moja ya kivutio wakati wa Tamasha la Chagga Day 2012-Moshi, ni michoro kwa watoto
Wazazi wakicheza na watoto katika maeneo ya vifaa vya michezo ndani ya ukumbi wa Zumb Land.
Wazazi wakicheza na watoto katika maeneo ya vifaa vya michezo ndani ya ukumbi wa Zumb Land.
Watoto wakisafiri na Treni ya Umeme ya watoto iliyopo Zumba Land Mjini Moshi -Kilimanjaro..
Watoto wakisafiri na Treni ya Umeme ya watoto iliyopo Zumba Land Mjini Moshi -Kilimanjaro..
Watoto wakisafiri na Treni ya Umeme ya watoto iliyopo Zumba Land Mjini Moshi -Kilimanjaro..
Bendi ya Msondo, Ikitumbuiza wakati wa Tamasha la Vyakula vya Asili vya Kabila la Kichaga lililofanyika Hivi karibuni katika Viwanja vya LEADERS kinondoni Dar es Salaam.
Kutana na DJ, Maarufu katika mji wa Moshi, DJ OKQ
Kivutio kimojawapo katika Ukumbi wa Zumba Land, ni pamoja na Sanamu ya Mamba
Kivutio kimojawapo katika Ukumbi wa Zumba Land, ni pamoja na Sanamu ya Mamba
Waandaaji wa Tamasha la Vyakula vya ASILI vya Makabila Mbalimbali hapa nchini, Paul Siboka na Mama Siboka wa kwanza kulia, wakiwa katika Picha ya Pamoja wakati wa harakati za maandalizi ya Matamasha hayo, ambayo sasa yanafanyika katika sehemu mbalimbali hapa nchini.
Mkurugenzi wa My Way Entertainment, Paul Siboka akifafanua jambo kuhusu Tamasha la Nchi nzima la Vyakula vya asili vya makabila mbalimbali hapa nchini.
Mkurugenzi wa My Way Entertainment, Paul Siboka akifafanua jambo kuhusu Tamasha la Nchi nzima la Vyakula vya asili vya makabila mbalimbali hapa nchini(Kulia ni Mkurugenzi mwenza, Rose Siboka.
No comments:
Post a Comment