Katibu
Mkuu Wizara ya kazi uwezeshaji wananchi kiuchumi na ushirika Bi Asha
Ali Abdallah ambae ni mgeni rasmini akiwahutubia wanachama wa SACCOS
hiyo ya wadi ya nyerere Jimbo la magomeni Mjini Unguja wanapo kopa
mikopo wahakikishe kurejesha ili na wana chama wengine wapate kukopa
mikopo hiyo.
Katibu
Mkuu Wizara ya kazi uwezeshaji wananchi kiuchumi na ushirika Bi Asha
Ali Abdallah wanne kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na
viongozi wa SACCOS huko katika ukumbi wa baraza la wawakilishi la
zamani.
PICHA NA MAKAME MSHENGA – MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment