Wafanyakazi wa Zumbu land mjini Moshi wakiwa katika Pozi na Nembo ya Wadhamini wa Tamasha la CHAGGA DAY 2012.

Dada muwezeshaji wa Vyakula Vya Asili vya Kabila la Kichaga, kutoka kwa MAMA LISHE, maarufu mjini Moshi.
Vyakula mbalimbali vya Makabila vya asili vikiwa tayari kuliwa.
Furahia na fanya maandalizi ya sikuu ya X-mass
Hapa ni maonyesho ya Vifaa mbalimbali vya Makabila ya Asili, katika kukuza Mila na Desturi zetu Tanzania, ni katika Ukumbi wa Zumba Land mjini Moshi wakati wa Tamasha la CHAGGA DAY 2012.
Wafanyakazi wa TBL wakiwajibika katika kumaliza mwaka wa 2012
Watoto wakifurahia maisha na wazazi wakati ambao ni haki yao kutembelea maeneo ya Michezo katika kumaliza mwaka wa 2012, ndani ya Zumbu Land Moshi. na CHAGGA DAY.
WATOTO WAKIPATA VINYWAJI
MICHEZO KWA WATU WAZIMA PIA NI MUHIMU NDANI YA ZUMBA LAND MJINI MOSHI
Maonyesho ya Vifaa vya kale
ni wakati wa kupata burudani na kinywaji chako cha PEPSI.(Picha zote na shaaban Mpalule)
No comments:
Post a Comment