Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua vikosi hkwenye
uwanja wa Paredi la kutunuku kamisheni katika chuo cha jeshi Monduli
mkoani Arusha Jumamosi.
Maofisa
Wapya wa jeshi wakipita mbele ya mgeni Rasmi Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete na kutoa heshima wakati wa gwaride maalumu la Kamisheni
lilofanyika katika chuo cha TMA Monduli.
Kikosi
cha Bendera kikipita mbele ya Amiri jeshi mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete wakati wa gwaride maalumu la Kamisheni lilofanyika katika chuo
cha TMA Monduli.
Maofisa
Wapya wa jeshi wakipita mbele ya mgeni Rasmi Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete nakutoa heshima wakati wa gwaride maalumu la Kamisheni
lilofanyika katika chuo cha TMA Monduli.
Mkuu
wa Majeshi ya ulinzi na usalama Jenerali Davis Mwamunyange kushoto na
Mkuu wa Chuo cha Jeshi (TMA) Monduli Brigedia Jenerali Paul Peter
Massao(kulia) wakimsindikiza Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho
kwenda uwanja wa Paredi ambapo alitunuku kamisheni kwa maofisa wapya wa
jeshi katika sherehe zilizofanyika katika chuo cha jeshi(TMA) mkoani
Arusha.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkuu wa
majeshi wa kwanza Mzalendo Jenerali Mirisho Sarakikya muda mfupi baada
ya kuwasili katika chuo cha jeshi Monduli tayari kwa kutunuku kamisheni
kwa maofisa 179 wapya wa jeshi waliohitimu vyema mafunzo yao mwishoni
mwa wiki.
Mkuu
wa Chuo Cha Jeshi Monduli TMA Brigedia Jenerali Paul Peter Massao
akimsindikiza Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kuingia
katika viwanja vya Paredi chuoni hapo akiwa katika gari maalumu ambapo
alitunuku kamisheni kwa maofisa wapya wa Jeshi.

Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea salamu ya heshima
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Paredi kutunuku kamisheni katika
chuo cha jeshi Monduli mkoani Arusha Jumamosi.
No comments:
Post a Comment