Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe pamoja na
Makamu mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu akikata utepe
kuashiria uzinduzi rasmi wa barabara ya Dumila-Rudewa yenye urefu wa Kilomita
45 iliyojengwa kwa kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akifungua jiwe la msingi kuashiria ufunguzi rasmi wa Dumila-Rudewa
yenye urefu wa Kilomita 45 iliyojengwa kwa kiwango cha lami.
Sehemu ya barabara ya Dumila-Rudewa yenye urefu wa Kilomita 45 iliyojengwa kwa
kiwango cha lami.
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na baadhi ya
Watendaji kutoka Wizara ya Ujenzi ambao walikuwa wakisubiri tukio la ufunguzi
wa barabara ya Dumila-Rudewa yenye urefu wa Kilomita 45 uliofanywa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe kushoto akiwa pamoja na Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale wakitazama
ramani pamoja na picha mbalimbali za barabara ya Dumila-Rudewa yenye urefu wa
Kilomita 45 iliyojengwa kwa kiwango cha lami.
Mc
Mavunde kulia akiwatambulisha watendaji mbalimbali kutoka Wizara ya ujenzi kabla
ya Ufunguzi rasmi wa barabara ya Dumila-Rudewa
Sehemu
ya wakazi wa Dumila waliojitokeza kwa wingi wakimsiliza Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete licha ya giza kuingia mjini Dumila.
No comments:
Post a Comment