Pichani
ni baadhi ya nyumba za Mkulima wa Shayiri, Barrick Kivuyo zikionekana
baada ya kuwa amezifanyia ukarabati ikiwa ni pamoja na kuweka umeme wa
jua (Solar)
Mkulima
wa Shayiri akionesha moja ya Ghala lake (Stoo) kwa ajili ya kuhifadhia
zana mbalimbali za kilimo ikiwamo utunzaji wa pembejeo, ambapo jengo
hilo amelijenga kutokana na fedha za Shayiri.
Baadhi
ya Wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha Shayiri wakiwa katika
picha ya pamoja na Ofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha
anayesimamia wakulima katika eneo hilo la Monduli Juu, wilayani Monduli
mkoani Arusha.
Mkulima
wa Shayiri wilayani Monduli Meporoo Losulu akionesha Trekta zake mbili
ambazo amezinunua kutokana na kilimo cha Shayiri, pichani nyingine
akizungumza kuelezea mafanikio yake.
No comments:
Post a Comment