TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, August 5, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MTUKUFU AGAHKAN IKULU DAR ES SALAAM, LEO.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mwanzilishi na Mwenyekiti   wa Taasisi ya Maendeleo ya Agakhan Duniani, His Higness Prince Karim Agakhan, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2014 kwa mazungumzo. Mtukufu Agakhan yupo nchini kwa ziara binafsi ya siku nne, ambapo pia atatumia fursa hiyo kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo ya Taasisi hiyo, ikiwa ni pamoja na kukagua mradi wa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Agakhan ‘New Compass of Agakhan Univercity’ kinachojengwa jijini Arusha. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwanzilishi na Mwenyekiti   wa Taasisi ya Maendeleo ya Agakhan Duniani,
His Higness Prince Karim Agakhan, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2014 kwa mazungumzo. 
 Kulia ni Mbunge Tabora Kaskazini, Shafin
Sumari. Mtukufu Agakhan yupo nchini kwa ziara binafsi ya siku nne, ambapo pia
atatumia fursa hiyo kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo ya Taasisi hiyo,
ikiwa ni pamoja na kukagua mradi wa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Agakhan ‘New Compass
of Agakhan Univercity’ kinachojengwa jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment