TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, August 5, 2014

UHONDO WA MAONYESHO YA WAKULIMA KANDA YA MASHARIKI UWANJA WA MWL JULIUS NYERERE NANE NANE MOROGORO 2014.

Meneja uzalishaji wa kampuni ya mbegu ya Pop Vriend, Samson Meshack akifafanua juu zao la bilinganya kwa wanafunzi wa mwaka wa pili kozi ya shahada ya biolojia katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wakati walipotembelea vipando vya banda la farmbase katika maonyesho ya wakulima nane nane kanda ya mashariki katika uwanja wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere mkoani Morogoro.

Meneja uzalishaji wa kampuni ya mbegu ya Pop Vriend, Samson Meshack akielezea mboga aina ya kebichi kwa baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa pili kozi ya shahada ya biolojia katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wakati walipotembelea vipando vya banda la farmbase katika maonyesho ya wakulima nane nane kanda ya mashariki katika uwanja wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere mkoani Morogoro.
 Mkuu wa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro Anthony Mtaka na Mwandishi wa Uhuru Latifa Ganzel katika maonyesho ya wakulima Nane Nane Kanda ya Mashariki
Vipando vya banda la farmbase juu, ni mboga mboga aina ya kebichi na nyanya katika maonyesho ya wakulima nane nane kanda ya mashariki katika uwanja wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere mkoani Morogoro.
 Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Morogoro Said Amanzi akishangaa cocoa kutoka wilaya ya Mvomero katika maosnyesha hayo
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janet Mbene mambo mbalimbali katika maonyesho ya wakulima nane nane kanda ya mashariki.

No comments:

Post a Comment