TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, August 7, 2014

NABAKI AFRIKA MABINGWA VIFAA VYA UJENZI

20140806_050949Meneja wa kampuni ya Nabaki Afrika tawi la Arusha Jesse S. Madauda akiongea na wateja waliotembelea katika  banda lao viwanja vya nane nane jijini Arusha
20140806_051800 
Hii ni moja ya vifaa vinavyopatikana katika banda lao maarufu kwa jina la Gutter System,kazi yake kubwa ni kuvuna maji ya mvua ,uv resistance,hazikakamai wala kuvunjika na guarantee yake miaka 10
20140806_051639
Hii ni Plumbing System ni kwaajili ya mfumo wa maji taka na safi na sifa yake kuu nikwamba huwezi kuona chemba zile za nje na haizibi.
 
20140806_050615Vigae vya kuezeka (Decra Roofing Tiles )sifa yake kuu ni havipauki ,havipati kutu na havipukutiki na guarantee yake miaka 50
20140806_051321Floor Tiles za  mbao, ambazo zinatafutwa sana sokoni
20140806_051551Muonekano banda la Nabaki Afrika katika viwanja vya nane nane jijini Arusha,katika banda hilo utaweza kujipatia vifaa bora vya ujenzi wa nyumba yako pamoja na ushauri
20140806_051448Pump za maji za visima na matumizi ya nyumbani
20140806_051224Water Filter, kazi yake kubwa ni kuchuja maji,kutoa chumvi kwenye maji na kufanya yawe salama kwa kunywa
20140806_051429
Heater za maji kwaajili ya kupasha maji moto ikijulikana kwa jina la Ariston, Pia wanahita za umeme na za solar yaani  mionzi ya jua
20140806_053955Vigae vya kuezeka ( Fortiza Roofing Tiles )sifa yake kuu ni havipauki ,havipati kutu na havipukutiki na guarantee yake miaka 25
20140806_050843Conmix Decorative plaster SP3 ni plasta bora zilizo na rangi hazihitaji kupaka rangi(zikiwekwa dawa hazipitishi maji)

Kampuni ya Nabaki Afrika ni kampuni pekee isiyo na mshindani katika ubora wa vifaa mbalimbali vya ujenzi.Kampuni hiyo inahusika katika maeneo makuu matatu,yaani uezekaji,ujenzi (Construction) na maji.

Kwa mawasiliano  wasiliana nao kupitia info@nabaki.com au tembelea tovuti yao www.nabaki.com au piga simu namba 0766 827417 au 0786 966114.Nabaki Afrika imejaribiwa,Imepimwa na Imeaminiwa zaidi ya miaka 20 Tanzania.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)

No comments:

Post a Comment