TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, August 5, 2014

MWILI WA KIJANA WAOPOLEWA

WAKAZI_811a0.jpg
Wakazi wa Manispaa ya Iringa walijitokeza kwa wingi katika mto Ruaha mdogo kushuhudia mwili wa kijana wa jinsia ya kiume ukiwa umelazwa chini baada ya kuopolewa kwenye maji na Jeshi la Zima moto
na Uokoaji kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi mkoani hapa mwili ukiwa umeharibika vibaya jana.

No comments:

Post a Comment