TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, August 5, 2014

Manchester United na Real Madrid waweka rekodi Marekani

1
Mechi kati ya Manchester United Vs Real Madrid iliisha kwa Man United kushinda 3 – 1 dhidi ya Real Madrid kwenye uwanja wa Michigan maarufu kama The Big House. Magoli ya Manchester yalifungwa na Ashley Young (2) na Javier Hernandez (1), Gareth Balealifunga goli pekee kwa Real Madrid kwa penati.Story kubwa ya mechi hii sio magoli bali ni idadi ya watu walioingia uwanjani kuangalia mechi hii. Manchester United Vs Real Madrid wameweka rekodi ya kuingiiza mashabiki 109,318 na ticket zote za mechi ziliisha. Mechi hii ndio imeweka rekodi ya mechi ya soccer iliyowahi kuingiza watu mashabiki wengi kwenye viwanja vya Marekani.
2
3

No comments:

Post a Comment