Waziri
 Mkuu Mstaafu na Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama 
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. 
Edward Lowassa, akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na 
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati 
alipokwenda kumjulia hali katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam 
leo Machi 11, 2015.
Waziri
 Mkuu Mstaafu na Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama 
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. 
Edward Lowassa, akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa 
Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif 
Hamad, wakati alipokwenda kumjulia hali katika Hoteli ya Serena jijini 
Dar es Salaam leo Machi 11, 2015.
Makamu
 wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF,
 Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo 
pichani) juu ya hali ya afya yake.
Waziri
 Mkuu Mstaafu na Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama 
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. 
Edward Lowassa, akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na 
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, mara 
bade ya kumjulia hali katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo 
Machi 11, 2015.

No comments:
Post a Comment