Balozi
 Dk Asharose Mtengeti Migiro akitoa ushuhuda wake wa namna alivyoweza 
kufanikiwa katika maisha pamoja na vikwazo vingi kwenye mfumo dume, 
kwenye Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani jijini Dar 
es salaam jana jioni katika tukio lililoandaliwa na Kazi Services Ltd 
kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri nchini (ATE) na kudhaminiwa na 
mdhamini Mkuu Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
No comments:
Post a Comment